Sunday 16 August 2015

MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA [TSNP] WAKIWA KATIKA BANDA LAO TAR. 12.08.2015 KUWAELIMISHA WATANZANIA JUU YA MTANDAO HUSIKA.

Maazimisho ya kimataifa ya siku ya vijana duniani [12.08.2015, kitaifa yamefanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. Mtandao wa wanafunzi Tanzania TSNP tulikuwepo kuuuelezea umma shughuli mbalimbali za mtandao

Afisa habari wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Ndugu Joel Ntile aliambatana na wajumbe pamoja na waratibu wa Mtandao Ndugu Erick Mwakitota, Miss Happy na Miss Mwasity Kawega kuhakikisha wanawaelimisha watanzania juu ya umuhumu wa kuunga mkono mtandao husika na kuwaeleza majukumu ya mtandao husika kwa maslahi ya wanafunzi na Tanzania kwa ujumla wake.

Afisa habari wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania ndugu. Joel Ntile akifafanua jambo wakati wa maonysho ya siku ya vijana katika banda la TSNP.


No comments:

Post a Comment

Students!!!!!!!!!
For Nation....

Students!!!!!!!!!
Together we have the power.