Sunday 2 August 2015

TSNP-MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA UKIWA NA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI SUA-SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE.

TSNP & SUASO GOVERNMENT. 2013.
Viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania tukiwa katika harakati za kuimarisha mtandao huu vyuo vikuu nchini. Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa ukarimu wa viongozi wa serikali ya Wanafunzi SUA kwa kutukaribisha na kukubali uratibu wa mtandao huu  na kushiki katika ujenzi wa maono ya TSNP nchini.


VIONGOZI WA MTANDAO WA WANAFUNZI NCHINI WAKIONGEA NA UONGOZI WA SERIKALI YA SUASO 2013.

No comments:

Post a Comment

Students!!!!!!!!!
For Nation....

Students!!!!!!!!!
Together we have the power.