Friday 31 July 2015

TSNP & AZAM TV LIVE 30.07.2015. CHANGAMOTO ZIWAKUMBAZO WANAFUNZI NCHINI KATIKA MCHAKATO WA BVR.

Ndugu Alphonce Lusako akiwa Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania akiwa anahojiwa na Mtangazaji wa Azam TV

HAYA NI MAPENDEKEZO YETU YA MWISHO KWA TUME YA UCHAGUZI YA TAIFA JUU YA CHANGAMOTO ZIWAKUMBAZO WANAFUNZI NCHINI. NA HII NDIO PRESS RELEASE YA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA TULIOITOA JANA KWA VYOMBO VYA HABARI. MAADHIMIO YA MTANDAO WA WANAFUNZI NCHINI {TSNP} DHIDI YA MAJIBU YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI {NEC} JUU YA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA WANAFUNZI KATIKA MCHAKATO WA UANDIKISHWAJI WA MFUMO MPYA WA BVR-BIOMETRIC VOTER REGISTRATION.


Ndugu wahandishi wa habari, ikumbukwe kwamba tarehe 29/05/2015 mtandao wa wanafunzi {TSNP} ulitoa tamko lililoitaka Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) ieleze namna ambavyo wanafunzi wa vyuo vikuu na wale wa shule za sekondari nchini watakavyooandikishwa ilihali wanakabiriwa na changamoto mbalimbali mathalani suala la wanafunzi walioenda JKT, Wanafunzi wa sekondari ambao wanaendelea na ratiba ya masomo huku mchakato wa uandikiswaji ukiendelea, suala la uchaguzi mkuu kufanyika wakati shule za sekondari zikiendelea na ratiba za masomo na suala la wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wapo Dar es salaama na Mchakato wa uandikishwaji unaanza wakati vyuo vingi vimefungwa na wanavyuo wanarudi mikoani ambako mchakato wa uandikishwaji ushafanyika. Pamoja na changamoto hizo ambazo mtandao wa wanafunzi Tanzania tulizieleza.


 Tarehe 05/7/2015 wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu walienda kuonana na mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva kumueleza changamoto husika. Lakini tarehe 10/07/2015 Tume ya taifa ya uchaguzi kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Dr. Sisti Cariah ilitoa waraka wa kujibu wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu waliokutana na mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi. Tunasikitika na ukweli kwamba, majibu ya tume hayakujibu haja na matarajio ya wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za sekondari kwa ujumla wake na kuwafanya wanafunzi wengi nchini kuwa na sintofahamu juu ya hatima yao ya kuanddikishwa katika mfumo mpya wa BVR ili kupata haki yao ya kuchagua viongozi wao.


Mapendekezo:


Tunapenda kusema kwamba, Mtandao wa Wanafunzi Tanzania haujaridhishwa kabisa na majibu ya tume na unatoa mapendekezo ya mwisho kwa Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yatakayowawezesha wanafunzi wenye sifa nchini waliokosa kujiandikisha kwa sababu ya changamoto tulizozieleza hapo juu waweze kujiandikisha. Mosi, Wakati wa uhamishwaji wa taarifa za wapiga kura {kati ya 11-18 agust 2015} ,tunaiomba tume ipeleke BVR Kits katika kila halmashauri ya nchi hii ili kuhakikisha wananchi wenye sifa wakiwemo wanafunzi ambao hawajaandikishwa waandikishwe


Pili, Mtandao wa Wanafunzi unaitaka Tume ya taifa ya uchaguzi iweze kupeleka mashine za BVR kit vyuoni kwa vyuo vyote vya Dar es salaam ambavyo vitakuwa bado havijafungwa wakati zoezi la uandikishaji litakapokuwa likiendelea mkoani Dar es salaam.


Tatu, Mtandao wa wanafunzi Tanzania unapenda kusisitiza tena Tume ya taifa ya uchaguzi kwamba, endapo wanafunzi wataikosa haki yao hii ya kikatiba ya kujiandikisha na kupiga kura basi wanafunzi wote kwa umoja wetu pamoja na hatua nyingine tutakazo zichukua tutapinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu 25 oktober 2015 mahakamani mpaka pale tutapoona wanafunzi wote wenye sifa wataandikishwa.


Tunaiomba Tume ya Taifa ya Uchaguziishirikiane na wizara ya Elimu ili wakati wa uchaguzi Shule za sekondari zifungwe ili wanafunzi wote wenye sifa washiriki kuchagua viongozi wao.


Hitimisho:


Kwa tahadhari, Sisi kama mtandao wa wanafunzi Tanzania tunafahamu mambo yaliyotokea mwaka 2009 kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, danganya toto zile zile ndizo zinaendelea wakati huu, Inachokifanya Tume ya Taifa ya Uchaguzi {NEC} ni kuairisha tatizo. Mwaka 2015 hatutakubali kudanganywa na tupo tayari kupambana kwa mujibu wa sharia za nchi hii ili kuhakikisha tunapata haki zetu. Vile vile tunawaomba wanavyuo wote nchini kwa gharama yoyote ile wafike Dar es Salaam kwa ajili ya kuandikishwa pale zoezi litapoanza {16 Julai 2015}.


By TSNP General Secretary
Alphonce Lusako M.
tsnp.students@yahoo.com

USHIRIKA WA TSNP & CHAKUA 28.07.2015

Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote nchini kwamba mtandao wa wanafunzi tanzania {TSNP} umeongeza Ushirika na asasi nyingine isiyo ya kiserikali iitwayo CHAKUA-CHAMA CHA KUTETEA ABIRIA TANZANIA mnamo tar. 28.07.2015. Tumepanga kushirikiana katika mambo ambayo kikatiba yanarandana.

Chini ni picha za matukio wakati wa kikao cha kuunda ushirika.

Na:
Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania
Alphonce Lusako M
tsnp.students@yahoo.com


Pichani ni viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania TSNP na viongozi wa chama cha kitetea abiria -CHAKUA

Thursday 30 July 2015

KONGAMANO KUBWA LA WANAVYUO LITALOFANYIKA LUNCHTIME HOTELI KUJADILI VYUO VILIVYOKOSA SIFA NA KUFANYA MAADHIMIO YA PAMOJA TAR. 17.07.2015


KESHO TAREHE 17/07/2015 USIKOSE KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA WANAFUNZI ULIOANDALIWA NA MTANDAO WA WANAFUNZI NCHINI {TSNP} LUNCH TIMEHOTEL ILIYOPO MKABALA NA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR ES SALAAM. KUANZIA SAA 2:30 ASUBUHI MPAKA SAA 9:00 MCHANA. MADA: MJADALA MPANA JUU YA VYUO VILIVYOKOSA SIFA NCHINI NA KUFANYA MAADHIMIO YA PAMOJA DHIDI YA VYUO HUSIKA KWA MSAADA WA WANASHERIA. WANASHERIA MBALI MBALI, WANAVYUO KUTOKA TAASISI MBALIMBALI, WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WAMEALIKWA. TAFADHALI FIKA BILA KUKOSA NA MTAARIFU NA MWENGINE. What is to be done? Link with others in struggle? By TSNP General Secretary Alphonce Lusako. M, tsnp.students@yahoo.com.

Wednesday 29 July 2015

TSNP VS TUME YA VYUO VIKUU NCHINI (TCU)

TSNP VS TUME YA VYUO VIKUU NCHINI (TCU) HUU NDIO UPOTOSHWAJI WA PR. YUNUS MGAYA KATIBU MKUU WA TUME YA VYUO VIKUU-TCU JUU YA CHUO CHA KIU KUKOSA SIFA. IKUMBUKWE TAR. 11.07.2015 MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA(TSNP) ULIKUWA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI NA KUITAKA SERIKALI KUKIFUTA CHUO KIKUU CHA KIU KWA KUKOSA SIFA. PR. YUNUS MGAYA AMEPOTOSHA UMA KUPITIA GAZETI LA GUARDIAN LA JUZI KAMA TAARIFA HAPO CHINI INAVYOJIELEZA. Ikumbukwe MTANDAO HUU -TSNP Unanyaraka zinazothibitisha kuwa chuo hiking hakuna sifa. REJEA GAZET LA LEO TANZANIA DAIMA LENYE KICHWA CHA HABARI (TSNP YAKING'ANG'ANIA CHUO KIKUU CHA KIU) TCU embraces KIU over revocation Tanzania Commission for Universities (TCU) has played down proposal by troubled lawmakers who had called for immediate closure of the Kampala International University (KIU) for allegedly violating operational terms. The concerned lawmakers in Dodoma mid this week proposed for de-registration of universities including KIU, claiming they had been violating registration provisions. But the influential national overseer commission of the universities immediately hit back by accusing the parliamentarians of unfounded whistle blowing, saying they were playing cheap politics out of the Ugandan university whose registration and operational records had been squeaky clean. TCU Executive Secretary Prof. Yunus Mgaya said KIU which has acquired certificate of full registration since September 2012 would not be closed as there were neither legal hitches nor operational and academic flaws prompting to revocation of terms. “Students and their parents, as well as the public in general should first seek the truth from the respective academic organs including TCU before taking actions. Otherwise they will be led astray by the preying power mongering politicians,” lamented the professor. “No student from KIU has ever forwarded complaints to us regarding the university’s failure to run clinical rotation… but our findings have revealed politically motivated sinister motives behind the KIU saga,” the professor said in reference to recent riots by some medical students at the university who protested against lack of clinical rotational-based practical training, among others. He commended the university at the parliamentary spotlight for impressive performance, saying it might soon achieve one the nation’s leading academic status, but decried what he described as “the politically motivated rebellious students for slinging mud on the face of the university.” “After all there were no rioters among students who were eligible for clinical rotation, given the fact that the exercise is limited to students from third year,” said the professor, adding that no medical student is allowed to pursue clinical rotation without prior completion of Basic Sciences in the first and second years at the university. It was further revealed that practical training for basic sciences were usually carried out in well-equipped laboratories at the university campus which is short of a hospital for clinical rotation. But according to TCU, a medical university may go without hospital of its own, if struck agreement with other hospitals for the students to carry out practical training. KIU has reached such agreement with at least five hospitals including Muhimbili National Hospital (MNH) in Dar es Salaam and the Coast Region. Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) also confirmed that it is not a must for a university to have a hospital for clinical rotation as long as it has access to facilities in other hospitals. MUHAS Public Relations Officer, Hellen Mtui said that apart from MNH, her college has agreements with other hospitals where medical students undergo practical training. “We use the services of Lugalo Hospital among others. This is because there is no limitation as to the hospitals to be used especially at times when MNH is too occupied to accommodate extra students,” said Ms Mtui. Dr Elly Nkya from the Care and Treatment Services in the Ministry of Health and Social Welfare also echoed both the professor and Ms Mtui, saying there were stages to be passed in the first and second year before a student is entrusted with lives of others as a part of the practical training in third year of the medical studies. Reached for comments, KIU Public Relation Officer Kenneth Uki said students who were keen in demanding clinical rotation belonged to first year, the very ones who boycotted classes after the riot last month. However, he said third year students have just recently started to pursue clinical rotation in various hospitals including Amana in Dar es Salaam, as the first batch of students taking Bachelor of Sciences in Medicines at KIU has just entered its third year. KIU Vice Chancellor Prof. Mohammad Ndaulla said the students in strike were those who did not want to study and knew nothing on mechanism behind clinical rotation. “The absentees are students who attacked their mates in classrooms last month and ordered them to join the riots. But those who understand what clinical rotation is all about are in classes at the moment,” said the VC. KIU has no hospital in the college premises, but it had signed the Memorandum of Understanding (MoU) with various hospitals, pending completion of its own facilities at the year-end. SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

KIKAO CHA TSNP & NEC TAR. 5.06.2015

HAYA NI MAPENDEKEZO YETU YA MWISHO KWA TUME YA UCHAGUZI YA TAIFA JUU YA CHANGAMOTO ZIWAKUMBAZO WANAFUNZI NCHINI. NA HII NDIO PRESS RELEASE YA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA TULIOITOA JANA KWA VYOMBO VYA HABARI.

MAADHIMIO YA MTANDAO WA WANAFUNZI NCHINI {TSNP} DHIDI YA MAJIBU YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI {NEC} JUU YA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA WANAFUNZI KATIKA MCHAKATO WA UANDIKISHWAJI WA MFUMO MPYA WA BVR-BIOMETRIC VOTER REGISTRATION.

Ndugu wahandishi wa habari, ikumbukwe kwamba tarehe 29/05/2015 mtandao wa wanafunzi {TSNP} ulitoa tamko lililoitaka Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) ieleze namna ambavyo wanafunzi wa vyuo vikuu na wale wa shule za sekondari nchini watakavyooandikishwa ilihali wanakabiriwa na changamoto mbalimbali mathalani suala la wanafunzi walioenda JKT, Wanafunzi wa sekondari ambao wanaendelea na ratiba ya masomo huku mchakato wa uandikiswaji ukiendelea, suala la uchaguzi mkuu kufanyika wakati shule za sekondari zikiendelea na ratiba za masomo na suala la wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wapo Dar es salaama na Mchakato wa uandikishwaji unaanza wakati vyuo vingi vimefungwa na wanavyuo wanarudi mikoani ambako mchakato wa uandikishwaji ushafanyika.

  Pamoja na changamoto hizo ambazo mtandao wa wanafunzi Tanzania tulizieleza. Tarehe 05/7/2015 wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu walienda kuonana na mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva kumueleza changamoto husika. Lakini tarehe 10/07/2015 Tume ya taifa ya uchaguzi kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Dr. Sisti Cariah ilitoa waraka wa kujibu wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu waliokutana na mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi. Tunasikitika na ukweli kwamba, majibu ya tume hayakujibu haja na matarajio ya wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za sekondari kwa ujumla wake na kuwafanya wanafunzi wengi nchini kuwa na sintofahamu juu ya hatima yao ya kuanddikishwa katika mfumo mpya wa BVR ili kupata haki yao ya kuchagua viongozi wao.

Mapendekezo:

Tunapenda kusema kwamba, Mtandao wa Wanafunzi Tanzania haujaridhishwa kabisa na majibu ya tume na unatoa mapendekezo ya mwisho kwa Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yatakayowawezesha wanafunzi wenye sifa nchini waliokosa kujiandikisha kwa sababu ya changamoto tulizozieleza hapo juu waweze kujiandikisha. Mosi, Wakati wa uhamishwaji wa taarifa za wapiga kura {kati ya 11-18 agust 2015} ,tunaiomba tume ipeleke BVR Kits katika kila halmashauri ya nchi hii ili kuhakikisha wanafunzi wenye sifa ambao hawajaandikishwa waandikishwe

Pili, Mtandao wa Wanafunzi unaitaka Tume ya taifa ya uchaguzi iweze kupeleka mashine za BVR kit vyuoni kwa vyuo vyote vya Dar es salaam ambavyo vitakuwa bado havijafungwa wakati zoezi la uandikishaji litakapokuwa likiendelea mkoani Dar es salaam.

Tatu, Mtandao wa wanafunzi Tanzania unapenda kusisitiza tena Tume ya taifa ya uchaguzi kwamba, endapo wanafunzi wataikosa haki yao hii ya kikatiba ya kujiandikisha na kupiga kura basi wanafunzi wote kwa umoja wetu pamoja na hatua nyingine tutakazo zichukua tutapinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu 25 oktober 2015 mahakamani mpaka pale tutapoona wanafunzi wote wenye sifa wataandikishwa.

Tunaiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ishirikiane na wizara ya Elimu ili wakati wa uchaguzi Shule za sekondari zifungwe ili wanafunzi wote wenye sifa washiriki kuchagua viongozi wao. Hitimisho: Kwa tahadhari,

Sisi kama mtandao wa wanafunzi Tanzania tunafahamu mambo yaliyotokea mwaka 2009 kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, danganya toto zile zile ndizo zinaendelea wakati huu, Inachokifanya Tume ya Taifa ya Uchaguzi {NEC} ni kuairisha tatizo. Mwaka 2015 hatutakubali kudanganywa na tupo tayari kupambana kwa mujibu wa sharia za nchi hii ili kuhakikisha tunapata haki zetu. Vile vile tunawaomba wanavyuo wote nchini kwa gharama yoyote ile wafike Dar es Salaam kwa ajili ya kuandikishwa pale zoezi litapoanza {16 Julai 2015}.

By TSNP General Secretary
tsnp.students@yahoo.com

AZAM TV & TSNP LIVE KESHO TAR. 30 JULY 2015.

MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA (TSNP) KESHO ALHAMISI SAA 1:15 ASUBUHI UTAKUWA UNAHOJIWA JUU YA HATUA TULIZOCHUKUA DHIDI YA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA WANAFUNZI NCHINI KATIKA MCHAKATO WA UANDIKISHWAJI KWENYE MFUMO MPYA WA BVR-BIOMETRIC VOTERS REGISTRATION NA HATIMA YA TSNP JUU YA WANAFUNZI WASIOANDIKISHWA. Na: Alphonce Lusako M TSNP General Secretary. tsnp.students@yahoo.com +255 765 443 728.

AZAM TV & TSNP LIVE KESH O

Tuesday 28 July 2015

MATUKIO KATIKA PICHA YA WANAMTANDAO [TSNP]


katibu mkuu wa Mtandao wa Wanafunzi nchini ndugu. Alphonce Lusako akifafanua jambo kwa Wanafunzi waliogoma Kampala International University. 11/07/2015. land mark hotel. Jijini Dar es salaam



Baada ya kikao cha Mtandao {TSNP} na wanafunzi wa chuo KIU wakiwa pamoja pichani



Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani wakiwa wamemlaki Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania baada ya hotuba iliyowagusa wanafunzi wa Sekondari katika Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika Nkumbi wa Nkuruma Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Dar es salaam April 23, 2015



MAELEZO YA KINA YA MATATIZO YALIYOPELEKEA WANAFUNZI CHUO CHA KINA KUGOMA NA KUOMBA WAHAMISHWE CHUO HUSIKA








Viongozi wa Mtandao wa wanafunzi Tanzania wakiwa wametoka kwenye kikao na viongozi wa shule za Sekondari LandMark hotel Dar es salaam Tanzania. tar 7/5/2015.



Wanamtandao wakijadiliana namna ya kuimarisha Mtandao huu Shule za Secondari nchini



Mwenyekitu wa Kamati ya Wanafunzi waliogoma chuo kikuu cha KIU ndugu Ruhuma.



Mr. Paul na Alphonce wakiwa Kikaoni Landmark 7/5/2015.



Wanafunzi wa Tunduru High School wakiwa wanajadili baada ya kunyimwa fursa ya Kujiandikisha katika Mfumo mpya wa BVR.-BIOMETRIC VOTER REGISTRATION.



MATUKIO KATIKA PICHA YA VIKAO MBAMBALI YA WANAMTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM














Saturday 25 July 2015

KARIBU TSNP


Tanzania students’ Networking Programme (TSNP) is a non-partisan, not for profit and non-government registered in 23rd October 2001 (SO. NO.42386). The formation of TSNP has been to help fill the gap caused by the absence of strong students’ organization that can promote and protect students’ rights and responsibilities. The objectives of TSNP are focused upon the establishment of strong students’ body by providing a live network of students in Tanzania at all levels and cooperate with various national and international organizations with similar goals and objectives.

Welcome all...