Tuesday 28 July 2015

MATUKIO KATIKA PICHA YA WANAMTANDAO [TSNP]


katibu mkuu wa Mtandao wa Wanafunzi nchini ndugu. Alphonce Lusako akifafanua jambo kwa Wanafunzi waliogoma Kampala International University. 11/07/2015. land mark hotel. Jijini Dar es salaam



Baada ya kikao cha Mtandao {TSNP} na wanafunzi wa chuo KIU wakiwa pamoja pichani



Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani wakiwa wamemlaki Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania baada ya hotuba iliyowagusa wanafunzi wa Sekondari katika Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika Nkumbi wa Nkuruma Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Dar es salaam April 23, 2015



MAELEZO YA KINA YA MATATIZO YALIYOPELEKEA WANAFUNZI CHUO CHA KINA KUGOMA NA KUOMBA WAHAMISHWE CHUO HUSIKA








Viongozi wa Mtandao wa wanafunzi Tanzania wakiwa wametoka kwenye kikao na viongozi wa shule za Sekondari LandMark hotel Dar es salaam Tanzania. tar 7/5/2015.



Wanamtandao wakijadiliana namna ya kuimarisha Mtandao huu Shule za Secondari nchini



Mwenyekitu wa Kamati ya Wanafunzi waliogoma chuo kikuu cha KIU ndugu Ruhuma.



Mr. Paul na Alphonce wakiwa Kikaoni Landmark 7/5/2015.



Wanafunzi wa Tunduru High School wakiwa wanajadili baada ya kunyimwa fursa ya Kujiandikisha katika Mfumo mpya wa BVR.-BIOMETRIC VOTER REGISTRATION.



No comments:

Post a Comment

Students!!!!!!!!!
For Nation....

Students!!!!!!!!!
Together we have the power.