Friday 31 July 2015

USHIRIKA WA TSNP & CHAKUA 28.07.2015

Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote nchini kwamba mtandao wa wanafunzi tanzania {TSNP} umeongeza Ushirika na asasi nyingine isiyo ya kiserikali iitwayo CHAKUA-CHAMA CHA KUTETEA ABIRIA TANZANIA mnamo tar. 28.07.2015. Tumepanga kushirikiana katika mambo ambayo kikatiba yanarandana.

Chini ni picha za matukio wakati wa kikao cha kuunda ushirika.

Na:
Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania
Alphonce Lusako M
tsnp.students@yahoo.com


Pichani ni viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania TSNP na viongozi wa chama cha kitetea abiria -CHAKUA

No comments:

Post a Comment

Students!!!!!!!!!
For Nation....

Students!!!!!!!!!
Together we have the power.