Thursday 6 August 2015

KESHO TSNP USO KWA USO NA MKURUGENZI WA NEC STAR TV. 07.08.2015

MTANDAO WA WANAFUNZI NCHINI [TSNP] & TUME YA TAIFA [NEC] USO KWA USO KESHO TAR. 07.08.2015 STAR TV KATIKA TUONGEE ASUBUHI.


Ni mara kadhaa Mtandao wa Wanafunzi nchini [TSNP] umechukua hatua mbali mbali kuhakikisha Wanafunzi wote nchini wenye sifa wanapata haki ya kuandikishwa. Tumekuwa tukiwasiliana hata kwa simu pale inapobidi na jaji Lubuva ili kuhakikisha Tume inawajibika kuandikisha wanafunzi wote wenye sifa na kuipa tahadhari Tume ya Taifa ya Uchaguzi kama haitawajibika kama ilivyofanya mwaka 2010 kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.


Hivi karibuni kunataarifa imetolewa na TUME YA TAIFA JUU YA WANAFUNZI WASIOANDIKISHWA. FUATILIA KIPINDI HAPO KESHO.

No comments:

Post a Comment

Students!!!!!!!!!
For Nation....

Students!!!!!!!!!
Together we have the power.