Saturday 8 August 2015

MTANDAO WA WANAFUNZI [TSNP] UKIWA STAR TV 07.08.2015 KIPINDI-TUONGEE ASUBUHI.

Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania [TSNP] akiwa anauwakilisha Mtandao wa Wanafunzi katika Kipindi cha Tuongee Asubuhi agenda kuu ikiwa kuelekea Uchaguzi mkuu na changamoto za wanafunzi katika mchakato wa kujiandikisha katika mfumo mpya wa BVR


                       
 Pichani ni WADAU Muhimu waliofika katika mjadala STAR TV

Kutoka kulia ni Ndugu Kamote Mtangazaji wa STAR TV kipindi cha Tuongee asubuhi, anayefuatia ni Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Ndg. Alphonce Lusako M, anayefuatia ni Mh. Mabere Marando wakili wa kujitegemea. na pembeni yake ni Ndg. Mpanjo aliyefika kuwakilisha watu wenye Ulemavu.
Mtangazaji Ndg. Kamote na Alphonce Lusako Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania [TSNP]
Tukiwa katika Mjadala Star tv
Katibu wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania akiwa anatoa hoja juu ya maada husika.

No comments:

Post a Comment

Students!!!!!!!!!
For Nation....

Students!!!!!!!!!
Together we have the power.